Breaking News
recent

SINGIDA UNITED YASHUSHA WAZUNGU:

Image may contain: 3 people, people standing 

Klabu ya Singida United imetangaza kuimarisha benchi lake la ufundi kwa kutambulisha makocha wapya, Popadic Dragan ambaye atakuwa kocha mkuu na Dusan Momcilovic atakayekuwa kocha msaidizi.
Makocha hao wote ni raia wa Serbia na wamewahi kuwafanya kazi nchini Tanzania katika clabu ya Simba.

Mkurugenzi wa Singida United, Festo Sanga alisema mara baada ya kumtambulisha Popadic wanatangaza rasmi kuachana na Morocco ambaye ametingwa na majukumu mengi ya kutafuta vipaji kwa wachezaji wa timu ya Taifa.
Sport Nyumbani

Sport Nyumbani

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.