Mshambuliaji wa zamani wa Barcelona anaekipiga PSG kwa sasa Zlatan Ibrahimovic anarudi leo katika klabu hiyo ya zamani kwenye mtanange wa kukata na shoka katika ule usiku wa ulaya.alipoulizwa kama anakumbuka maisha yake ya zamani pale Nou Camp na kama ana marafiki wake aliowaacha pale.
Mchezaji huyo aliyefunga madoli 29 katika mechi 43 alizocheza akiwa na klabu hiyo ya hispania msimu wa 2009/2010 kabla ya kuhamia Ac Milan msimu ulofuatia.
Msweden huyo ana mengi ya kusema kuhusu wakatalunya hao kama ifuatavyo.
“Mimi nilikuwa na ndoto kuja Barcelona. Lakini baadaye nilifikiri kwamba labda unapaswa kuweka ndoto yako, badala ya kuifanya kuja kuwa kweli, ”
“Tulianza vizuri lakini hali ilkuja badilika baadae pale messi alipotaka kucheza katikati na sio pembani kama winga kwa hiyo ilibidi mfumo ubadilike toka 4-3-3 hadi 4-5-1-1 na nilitolewa sadaka na sikuwa tena na huru nliokuwa nikiuhitaji uwanjani ili npate mafanikio zaidi.
“Haiwezekani ununue Ferrari halafu uliendeshe kama Fiat alisema Ibrahimovic”
Uongozi wa pep Guardiola haukua na wakati mzuri hasa na uwepo wa ibrahimovic uwanjani
“nilimkoromea na kumwambia aende kuzimu na mengie mengi lakini Guardiola alikua mtu wa kuongea machache na mkimya sana na mambo yalihalibika zaidi baada ya kutolewa na jose mourinho na inter milan yake 2010.
“nilianza kupata hisia kwamba barcelona inakuwa kama tupo shule vilena kama nilipokua ajax nikikua,palikua hakuna super star pale sio messi,xavi wala iniesta wote walikua kama watoto wa shule,ilishangaza kuona mchezaji bora wa dunia kikaa kichwa chini muda wote sikuelewa kabisa.
Kila mmoja alifanya kama walivyofundishwa. Mimi sikufurahia kabisa, si wakati wote. Nilidhani, kufurahia tu nafasi, na wala si chuki zao. Hivyo mimi nikaanza kukabiliana na mchanganyiko huo. Mimi alisema nini Nilidhani watu walitaka mimi kusema.
Ilikua mbaya kabisa. Mimi niliendesha audi yangu hadi mazoezini na kufika pale kumwona kila mtu alivyo mmnyonge na nilitamani kufokea kila mtu lakini nilishindwa kwa kifupi hali ile ilinichosha sana”Ibrahimovic alisema katika biography yake kwamba alijaribu kuendana na mfumo na utamaduni wa pale lakini alishindwa.
Nasikuwa na hofu yauadui: “Nilipogunduamimi nitakuwakwenye benchikwa ajili ya mchezodhidi yaAlmeria,
“hapa barcelona hatukuwa na uhuru hata wa kuwa na magari mazuri kama ferreri auPorsche,ulikua ni ushenzi nilitaka kuendesha gari yangu nzuri na kupaki mbele ya uwanja wa mozoezi.
Hata hivyo, alipoulizwa kukumbuka muda wake na Barcelona alisema: “Kuhusu Camp Nou, ni ajabu. Mimi nilikuwa mwaka mmoja huko, na uzoefu mkubwa, mwaka ulikua mzuri. Mimi nlijifunza mengi – nje ya uwanja na ndani ya uwanja- na kwa ajili yangu ni klabu ya ajabu na nina mambo mazuri tu kusema “.
No comments:
Post a Comment