Breaking News
recent

Chelsea yamuwinda mrithi wa Fabregas, Klopp anena kuhusu Keita.

Kiungo wa Cagliari Nicolo Barella yupo mbioni kutua kunako klabu ya Chelsea kwa kitita cha Paundi Milion 45. Inasemekana Barella anakwenda kuziba pengo la Cesc Fabregas ambaye taarifa zinasema kuwa Chelsea ilimpa mkataba wa mwaka mmoja lakini Monaco wakamuahidi mkataba wa miaka mitatu.

Klabu ya Real Madrid imeingia kuvunja benki na kutoa kitita cha Paundi milion 100 ili kumnasa kiungo wa Spurs Christian Eriksen ambaye klabu yake imesema hauzwi kwa gharama yeyote.
Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amesema kiungo wake Naby Keita bado hajafikia kiwango chake alichokuwa nacho katika klabu yake ya zamani ya Leipzig. Keita alijiunga na Liverpool kwa dau la Puandi 48
Sport Nyumbani

Sport Nyumbani

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.