Breaking News
recent

TIMU YA MADAKTARI YASEMA PACQUIAO SASA SAFI, YUKO FRESH KUZICHAPA NA KHAN

  
Bondia nyota wa Ufulipino, Manny Pacquiao sasa atarejea baada ya matibabu ya bega.

Awali alifanyiwa upasuaji baada ya kupoteza pambano dhidi ya Floyd Mayweather. Lakini alipigana baada ya kuwa ameumia bega mazoezini.

Lakini sasa amefanyiwa kipimo maalum cha MRI na inaonekana mambo yako safi.
 
Baada ya hapo, maana yake PacMan ana uwezo wa kurejea na kupambana.

Taarifa zinaeleza, bondia wa kwanza ambaye anatarajia kuzichapa naye ni Muingereza Amir Khan.

Kuna taarifa ya mazungumzo ya awali kuhusiana na mabondia hao kupanda ulingo mmoja zimeanza.




Sport Nyumbani

Sport Nyumbani

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.