Barcelona imetenga pauni million 50 kuipa Chelsea ili imtoe winga wake, Willian.
Barcelona wamepanga pia kuwapa Chelsea kiungo kinda aitwa Malcom.
Thamani ya Malcom ni pauni million 38 na ilimsajili kutoka katika klabu ya Bordeaux ya Ufaransa.

No comments:
Post a Comment