Breaking News
recent

PSG YAMTAMBULISHA THOMAS TUCHEL, YAMTIMUA EMERY

Mwenyekiti wa klabu ya Paris Saint-Germain, Nasser Al-Khelaifi (kushoto) akimkabidhi jezi ya klabu hiyo, kocha mpya, Thomas Tuchel wakati wa kumtambulisha jana Uwanja wa Parc des Princes mjini Paris, Ufaransa kufuatia kusaini mkataba wa hadi mwaka 2020 kuchukua nafasi ya Unai Emery anayeondolewa baada ya msimu huu 
Sport Nyumbani

Sport Nyumbani

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.