Breaking News
recent

BAYERN YAWAFUNGA MULLER, MARTINEZ NA BOATENG HADI MWAKA 2021

KAANGA PHOTO.....KAAAAAA 
Bayern Munich imewapa mkataba wachezaji wake watatu Jerome Boateng, Javi Martinez na Thomas Muller ambao utamalizika mwaka 2021.

Pamoja na wachezaji hao watatu kudumu kwa muda wote huo, mkongwe Xabi Alonso naye ameongezewa mkataba hadi mwaka 2017.



Sport Nyumbani

Sport Nyumbani

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.