Breaking News
recent

MAYWEATHER AMTWANGA PACQUIAO KWA POINTI NA KUMALIZA UBISHI

Floyd Mayweather amemaliza ubishi kwa kumtwanga Manny Pacquiao katika pambano lao lililokuwa likisubiriwa kwa hamu kubwa.


Katika pambano ambalo Pacquiao alikuwa akishangiliwa sana, ngumi zake nyingi zilionekana kuwavutia mashabiki, lakini si zilizompa pointi kujenga ushindi.

Mayweather  alikuwa makini zaidi na kuweza kupiga ngumi nyingi zenye pointi.

Majaji wote watatu walimpa Mayweather ushindi wa
118-110, 116-112, 116-112.














Sport Nyumbani

Sport Nyumbani

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.