Breaking News
recent

Yanga watabe kwa kila kitu…baada ya mechi za jana, msimamo mpya wa VPL wasomeka hivi…

DSC_0604
YANGA SC watabe acha kabisa! wanaongoza kila kitu katika msimamo wa ligi kuu soka Tanzania bara.
Wana pointi 46 baada ya mechi 21, wamefunga magoli 39 na kufungwa 12, tofauti ya magoli ya kufunga ni 27.
Azam fc wanashika nafasi ya pili wakiwa na pointi 39 baada ya kucheza mechi 21, wamefunga magoli 27 na kufungwa 14, tofauti ya magoli ya kufunga na kufungwa ni 13.
BAADA YA MECHI MBILI ZA JANA VPL, MSIMAMO MPYA HUU HAPA:

Standings


RnkTeamMPWDLGFGA+/-Pts
1Young Africans21144339122746
2Azam21109227141339
3Simba SC2198427151235
4Kagera Sugar228772120131
5Mgambo JKT218491719-228
6Mtibwa Sugar226972122-127
7Stand United217681823-527
8Coastal Union236981623-727
9Ruvu Shooting226881420-626
10Mbeya City2251071721-425
11Ndanda226791824-625
12JKT Ruvu2266101622-624
13Tanzania Prisons2231271421-721
14Polisi Morogoro224991322-921
Sport Nyumbani

Sport Nyumbani

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.