Breaking News
recent

REFA WA PAMBANO LA MAYWEATHER VS PACQUIAO KULAMBA SH MILIONI 18

WEEKS AKIMSIKILIZA MAYWEATHER KATIKA PAMBANO DHIDI YA MAIDANA. BONDIA HUYO ALIKUWA AKILALAMA KUNGATWA.
Mwamuzi wa pambano kali la ngumi kati ya Floyd Mayweather dhidi ya Manny Pacquiao ataondoka na kitita cha dola 10,000 (zaidi ya Sh milioni 18).


Pambano hilo litapigwa alfajiri ya Mei 3 kwa saa za Afrika Mashariki. Mechi hiyo itakuwa katika jiji la Las Vegas, Marekani.

Linaaminika litakuwa pambano ghali zaidi na linaweza kughali hadi dola milioni 400.


Inaaminika waamuzi watakuwa ni wawili, Kenny Bayless na atasaidiwa na Tony Weeks anayekuwa wa akiba.
Sport Nyumbani

Sport Nyumbani

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.