Breaking News
recent

Ni hatari sehemu ya vyumba vya kifahari vya kupumzikia Cristiano Ronaldo na Gareth Bale baada ya mazoezi.

madrid 10
Vinafunguka kwa teknolojia maalumu ya kutambua alama za vidole pale unapotaka kuingia ndani ya vyumba hivyo.
  • Alvaro Arbeloa, Asie rIllarramendi n aNacho wametoa ziara ndani ya vyumba hivyo.
  • Wachezaji 11 wa kikosi cha kwanz acha Real Madrid wamepewa vyumba vinavyojitegemea pale makao makuu.
  • Carlo Ancellot anaweza kupumzika katika chumba chake cha kifahari kabla na baada ya mazoezi pale makao makuu.
  • Vyumba vina mito iliyonakshiwa na nembo ya Real Madrid na Tv za kisasa zaidi.
  • Kocha msaidizi Fernando Hierro pia imeonyesha chumba chake binafsi.
  • Real Madriduso kwa uso nawapinzani wa jadiAtleticoMadridkatika usiku wa ulaya jumanne hii.
Je umewahi kujiuliza sehemu ambayo wanachill wachezaji baada ya mazoezi? Naam hapa ni jibu lako kama Alvaro Arbeloa, Asier Illarramendi na Nacho wametoa bonge la ziara kwa adidas na ni ziara ya kipekee na ya kushangaza jinsi klabu hiyo tajiri na maajabu iliyoyafanya kwa The Galactical.
Aliyekuwa Liverpool beki Arbeloa alieleza kile ambacho kimefanyika ndani ya uwanja wa kufanyia mazoezi Real Madrid uitwao Ciudad, jina lililopewa sehemu hiyo ya mafunzo,na kuonyesha vitu vya nyuma ya pazia vinavyoendelea baada ya mazoezi kwa mabingwa hao wa hispania.
Akiungana na wachezaji wenzake Illarramendi na Nacho, Arbeloa alianzia mbali akifafanua kuwa timu ya kwanza nyota wa Real Madrid wanaruhusiwa kujivinjari masaa 24 katika vyumba hivyo.
madrid
wachezaji wa watatu Alvaro Arbeloa (kushoto), Asier Illarramendi (katikati) and Nacho wa Real madrid wakionyesha mandhali ya vyumba hivyo kwa wagen toka addidas.

madrid 3
Mchezaji wa zamani wa Liverpool akikionyesha chumba cha Bale
ronaldo 2
Kunamichezo mbalimbali inayofanya wachezaji waweze kurelax ndani ya vyumba hivyo
Kila mchezaji ana chumba vilivyonakshiwa watakavyo wenyewe , ambapo wanaweza kupumzika kabla na baada ya mafunzo au kabla ya mchezo au kurudi nyumbani.
Pia kuna sehemu maalumu ya chumba ambayo wastaa wao Cristiano Ronaldo,Bale na Rodrigrez wanaweza kukaa na kupiga stori wakati wa mapumziko hayo.
Hakuna nafasi ya wachezaji kuboreka ndani ya vyumba hivyo kwa sababu wamewekewa michezo mbalimbali kama vile kikapu,pooltable na michezo mingine mingi kabisa.
Katika vyumba hivyo vya kifahari na kitajiri vya wachezaji hao wanavifungua kwa kutumia teknolojia maalamu ya kutambua alama zao za vidole kwa hiyo kila chumba kinafunguliwa na mwenye chumba tu.
madrid 5
Hicho ni chumba cha Bale lakini mgeni huyo hawezi kukifungua kama huyo mchezaji hayupo
madrid 6
Mito ya vyumba hivyo imenakshiwa kwa nembo ya Real Madrid.

madrid7
Kila chumba kina Tv iliyokuwa programmed na majina yao na picha zao.

Tunaruhusiwa kutembeleana vyumbani ila tu ni pale utakapofanikiwa kupita sehemu ya ulinzi mlangoni,’baada ya chakula cha join huwa tuna kaa na kupiga story sehemu maalumu ya wazi iliyoandaliwa kwa ajili hiyo’ alisema Illarramendi.
mashabiki wa Real Madrid wanamatumaini kua Arbeloa, Illarramendi, Nacho na Co wameweza kupata muda mwingi wa mapumziko katika ‘Crib yao ya mpira wa miguu kuelekea mchezo wao wa robo fainali ya Ligi ya Mabingwa dhidi ya Atletico Madrid.
Mabingwa hao wa Ulayawanakutana uso kwa uso na Atletico katika Vicente Calderon Jumanne usiku na marudiano unafanyika wiki ijayo.

Madridi 8
Sehemu ambayo hutumiwa na wachezaji kupiga stori baada ya m lo wa jioni.
Sport Nyumbani

Sport Nyumbani

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.