Breaking News
recent

HIVI NDIVYO VIINGILIO NA SEHEMU ZITAZOUZA TICKET ZA MECHI YA BARCELONA VS TAIFA STARS

BARCELLOOO
Unataka kuingia kwenye mechi ya magwiji wa Barcelona Vs MAgwiji wa Taifa Stars siku ya Jumamosi pale uwanja wa Taifa?. Hivi hapa ndio viingilio na sehemu ambazo ticket zinapouzwa.
Viwango na gharama za ticket
  • VIP A………300,000/=
  • VIP B………100,000/=
  • VIP C………30,000/=
  • Jukwaa la Orange…….20,000/=
  • Jukwaa la Blue………..10,000/=
  • Jukwaa la Kijani………7,000/=
Ticket zitaanza kuuzwa kesho asubui kwenye vituo vifuatavyo
  • Uwanja wa Karuma
  • Break Point – Posta mjini
  • Dar Live -Mbagala
  • Buguruni Sheli
  • Ubungo Oil Com
  • Makumbusho Stand
  • Feri Kigamboni na Feri upande wa Kivukoni
  • Uwanja wa taifa
  • Mlimani City
  • NPS (Natinal Parking System wa mjinj nao watauza ticket pia)
Sport Nyumbani

Sport Nyumbani

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.