Breaking News
recent

BAO LA YAYA LASHINDWA KUIKOA MAN CITY, YATANDIKWA 2-1 NA PALACE

 Bao la Yaya Toure halikuweza kuiokoa Manchester City kukutana na kipigo cha mabao 2-1 kutoka kwa Crystal Palace.


Bao hilo lilibaki kuwa la kufutia machozi huku yale yaliyofungwa na Glenn Murray na Puncheon yakiipa Palace ushindi huo murua.

Kipigo hicho cha ugenini, maana yake City inazidi kuyumba katika mbioni za kutetea ubingwa na sasa inajikita katika nafasi ya tatu huku Arsenal ikibaki namba mbili.
Crystal Palace: Speroni, Ward, Dann, Delaney, Kelly, Zaha, Ledley, McArthur, Bolasie, Puncheon, Murray.
Subs: Hangeland, Sanogo, Hennessey, Gayle, Ameobi, Boateng, Souare.
Man City: Hart, Sagna, Kompany, Demichelis, Clichy, Jesus Navas, Fernandinho, Toure, Silva, Aguero, Dzeko.
Subs: Zabaleta, Fernando, Milner, Nasri, Caballero, Lampard, Mangala.
Referee: Michael Oliver (Northumberland)








Sport Nyumbani

Sport Nyumbani

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.