Mashabiki wa klabu ya As Roma ya nchini Italia walikimbia uwanjani baada ya kuishuhudia timu yao ikiwa nyuma kwa mabao 3:0 baada ya dakika 22 kwenye mchezo wa marejeano wa raundi ya 16 bora ya kombe ya Europa dhidi ya ndugu zao Fiorentina.
Nahodha Francesco Totti ambaye jana hakucheza ilimbidi pia kwenda kuwatuliza mashabiki waliokuwa na hasira.





No comments:
Post a Comment