Breaking News
recent

RONALDO AONYESHA GARI LAKE LA SH MILIONI 890


Cristiano Ronaldo ameamua kuonyesha kwamba kweli soka linamlipa baada ya kutupia mtaoni mmoja wa usafiri anaomiliki aina ya Rolls-Royce Ghost wenye thamani ua pauni 330,000 (zaidi ya Sh milioni 890).



Mshindi huyo mara tatu wa taji la mchezaji bora wa dunia maarufu kama Ballon d'Or, Christiano Ronaldo ameonyesha mbwembwe zake.
Sport Nyumbani

Sport Nyumbani

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.