Marcio Maximo kama unavyokumbuka alifanikiwa kuna hapa Tanzania kuifundisha Yanga mwaka jana lakini hakuweza kutimiza matakwa ya timu na kumpelekea kufukuzwa na akarejea kwao Brazil.
Maximo amefanikiwa kupata ulaji katika timu moja huko Brazil inayoshiriki ligi ya Jimbo ijulikanayo kama PARAMA
Maximo ana kazi kubwa sana maana timu aliyoipata ipo nafasi ya mwisho ambapo aikwamue katika nafasi ya kutoshuka daraja.
Kumbuka Maximo alifukuzwa katika klabu ya Yanga mnamo mwaka 2014, December na tarehe ikiwa ni 19 na alifanikiwa kukaa na Yanga kwa muda wa miezi 6 tu.
No comments:
Post a Comment