Breaking News
recent

MAYWEATHER AANZA KUJIFUA, PACQUIA NAYE AENDELEA KAMA KAWA

Hatimaye bondia Floyd Mayweather naye ameanza kujifua kwa ajili ya pambano lake dhidi ya Manny Pacquiao.

Pambano hilo litapigwa Mei 2 jijini los Angeles, Marekani na Mayweather alikuwa kimya wakati mwenzake akijifua.

Baada ya kutupia picha hizo, imeonekana kweli mabondia hao hawataki utani kabla ya pambano hilo kwani Paquiao naye ameendelea kujifua.








Sport Nyumbani

Sport Nyumbani

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.