Breaking News
recent

India yachekelea kombe la dunia kwenye Kriketi

150310054556_india-irelandTimu ya kriketi ya India imeibanjua timu ya Ireland kwa jumla wiketi nane kwenye michezo ya kombe la dunia la kriketi.
Ushindi huo wa india ulichagiwa kwa kufanya vizur kwa wachezaji wake wakiongozwa na Shikhar Dhawan aliepata mitupo (100) na Rohit Sharma aliepata (64).
Matumaini ya Ireland kufuzu hatua ya nusu fainali imekua ngumu baada ya kupoteza mchezo huo kwa kundi B,wakishika nafasi ya nne kwa alama 6.
India wanaongoza kundi B wakiwa na alama 10 baada ya kucheza michezo mitano ya michuano wakiwa wameshinda yote.
Sport Nyumbani

Sport Nyumbani

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.