Mpinzani wake Floyd Mayweather mara nyingi amekataa kupigana naye kwa madai huenda anatumia dawa za kuongeza nguvu.
Lakini jana amekubali kupimwa, tena ‘live’ huku runinga ya kwao Ufilipino ikionyesha.
Wakali hao wanakutana Mei 2, Las Vegas nchini Marekani katika pambano ghali zaidi la mchezo wa ngumi duniani.

No comments:
Post a Comment