Breaking News
recent

CHEKI MAPICHA MAYWEATHER, PACQUIAO WALIVYOKUTANA 'OFFICIAL' KWA MARA YA KWANZA


Hatimaye Floyd Mayweather na Manny Pacquiao wamekutana mara ya kwanza, safari hii kwa ajili ya ‘kazi’.


Wawili hao watakutana katika pambano ghali zaidi la ngumi katika historia ya mchezo huo litakalipigwa Mei 2, mwaka huu.

Kila mmoja alionyesha kujiamini kwamba atafanya vizuri katika pambano hilo na wakasisitiza watu wajitokeze kulishuhudia pambano hilo la kihistoria.

Tayari kila mmoja ameishaanza kujiandaa na pambano hilo na kufanya mazoezi makali. CHEKI MAPICHA.












Sport Nyumbani

Sport Nyumbani

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.