RONALDO NA BENZEMA WAFUNGA REAL IKIICHAPA 2-0 ELCHE LA LIGA Sport Nyumbani 01:36 Sport Nyumbani Mshambuliaji Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia timu yake, Real Madrid usiku wa kuamkia leo katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Elche katika mchezo wa La Liga. Bao lingine la Real lilifungwa na Karim Benzema. Twitter Facebook Google Tumblr Pinterest
No comments:
Post a Comment