Breaking News
recent

REFA AMUOKOA BONDIA WA UINGEREZA NA KICHAPO ZAIDI KUTOKA KWA GOLOVKIN

The bloodied face of Martin Murray contorts as Gennady Golovkin connects with another barrage of brutal punches to rock the Briton

Uso unaotoka damu wa Martin Murray ukipokea konde la Gennady Golovkin katika pambano la uzito wa Middle, Monte Carlo usiku wa kuamkia leo. Golovkin alishinda kwa Technical Knockou (TKO) baada ya refa Luis Pabon kusimamisha pambano raundi ya 11, kumnusuru mpinzani wake. 
The baby-faced fighter from Kazakhstan made it 32 wins from 32 fights with another dazzling display to showcase his incredible talents
Kwa ushindi huo wa 32 katika mapambano 32 kwa bondia huyo wa Kazakhstan dhidi ya Muingereza, Golovkin amefanikiwa kutetea taji lake la WBA uzito huo
Sport Nyumbani

Sport Nyumbani

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.