Bondia Floyd Mayweather ameamua kutupia mtandaoni mkataba wake dhidi ya Manny Pacquiao ili kumaliza ubishi.
Amesema hicho (mkataba) ndicho dunia ilichokuwa inakisubiri na sasa mambo yote yako hadharani.
Mkataba huo unaonyesha sehemu walizosaini mabondia hao nyota zaidi duniani kwa ajili ya pambano lao la Mei 2, mwaka huu.

No comments:
Post a Comment