Breaking News
recent

Matunda ya BBA 2014, hizi ni picha za nyumba ya Idris Sultan Dar es salaam.

Idris 1 houseNi mshindi wa Big brother Africa 2014 Idris Sultan ambae anaendeleza matunda ya ushindi wake wa BBA na sasa kajipatia nyumba yake ya kuishi ambayo pamoja na mengine ina sebule mbili na anatarajia kuanza kuishi kwenye nyumba hii kuanzia Jumapili January 25 2015.
Idris 2 house
Nyumba ipo Mbezi Beach Dar es salaam.
Sport Nyumbani

Sport Nyumbani

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.