
Wajumbe wa Fifa leo kwa kauli moja wamesema michuano ya Kombe la Dunia itakayofanyika nchini Qatar 2022 itachezwa Novemba hadi Desemba badala ya Juni-Julai.
Hivyo kuna hisia toka kwa baadhi ya wadau kuwa huenda ikaangukia siku ya Krismasi. Una mtazamo gani juu ya ratiba hii
No comments:
Post a Comment