Breaking News
recent

KWA HII ARSENAL NI HALALI YAO KUFUNGWA

Screenshot_2015-02-26-01-04-57
JANA Arsenal wamefumuliwa 3-1 na Monaco katika mechi ya kwanza ya ligi ya mabingwa barani Ulaya katika uwanja wa nyumbani wa Emirates mjini London.
Takwimu zinaonesha kuwa katika mechi 18 zilizopita, Monaco wamefungwa magoli 4, wakati Arsenal wamefungwa magoli 4 katika mechi mbili zilizopita.
Nani alikuwa na nafasi ya kushinda au kufungwa? majibu mnayo…..
Mpira wa miguu ni nambaz..takwimu zinaongea
Sport Nyumbani

Sport Nyumbani

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.