Bondia Floyd Mayweather anatajwa kuwa mmoja wa mastaa wenye utajiri mkubwa duniani kupitia kazi yake ya ubondia na haoni tatizo kuzitumia kufanya kile ambacho amekusudia au kuziringishia pesa kwa kuzipiga picha.
Sasa pamoja na utajiri wa magari aliokuwa nao Mayweather ameamua kumnunulia binti yake wa kike mwenye miaka 14 gari ya kifahari aina ya Rolls Royce yenye thamani ya dola za Kimarekani laki nne.


No comments:
Post a Comment