Breaking News
recent

FERRARI WAACHIA MUONEKANO MPYA WA MAGARI YA LANGALANGA

MUONEKANO WA BAADAYE ULIOZUA MJADALA

Kampuni ya Ferrarri wameachia picha mtandaoni zinazoonyesha magari yao yanayoshiriki mashindano ya langalanga maarufu kama Formular One yatakavyokuwa katika siku za usoni.


Picha hizo zimezua mjadala wengine wakiunga mkono na baadhi ya mashabiki wa mchezo huo wa mbio za magari ya kasi wakipinga, kwamba si sawa kwa kuwa gari hizo zinatoka kwenye umaduni kabisa wa muonekano wa Formula 1.

Hata hivyo wengine wamekuwa wakisifia kwamba muonekano huo mpya unavutia zaidi kuliko huu wa sasa.
MUONEKANO WA SASA...
Sport Nyumbani

Sport Nyumbani

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.