TAUSI LIKOKOLA (MWENYE GAUNI JEKUNDU) BAADA YA KUWASILI KWENYE UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE JIJINI DAR, JANA NA KUPOKELEWA NA WADAU. MWANAMITINDO HUYO NI KATI YA WALE WA KWANZA WATANZANIA KUFANYA VIZURI NJE YA NYUMBANI TANZANIA. KUTOKANA NA KUFANYA KWAKE VIZURI, LIKOKOLA ALIWAVUTIA WANAMITINDO WENGINE WACHANGA WAKATI HUO NA SASA TANZANIA INAO KADHAA MAHIRI KAMA MIRIAM ODEMBA, MILEN MAGESE, FLAVIANA MATATA NA WENGINE KIBAO. |
No comments:
Post a Comment