Breaking News
recent

Baada ya wafanyakazi wake kuhisi amefilisika, BOSS huyu kaona awaoneshe jeuri ya fedha…

Broka ManKuna msemo unaosema dawa ya maneno ni vitendo, mwekezaji mmoja ndani ya China aliamua kujibu kwa vitendo story za udaku zilizokuwa zimeenea mtaani kwamba jamaa huyo amefilisika.
Bosi huyo Cheng Hsiao aliamua kujibu udaku huo kwa kutengeneza ukuta mkubwa wa hela ofisini  kwake.
PAY-Money-walls
Mmoja wa wafanyakazi hao Kong Lu amesema walitaka kuhakikisha kuwa mfanyabiashara huyo hakimbii bila kuwalipa, lakini wakati wanaingia ofisini walimkutaCheng yuko ndani akiwa amesimama, amezungukwa na ukuta mkubwa wa hela, halafu akaanza kuwalipa wafanyakazi hao madeni yote wanayomdai pamoja na bonus ambayo hata hawakutegemea kulipwa.PAY-Money-walls (1)Kong amesema amesikitishwa kwa kitendo cha kutiliwa shaka na wafanyakazi  wake kwa kuwa amekuwa mfanyabiashara na muajiri mkubwa anayehakikisha wafanyakazi wake wote wanaenjoy kwa kuwalipa vizuri.
Sport Nyumbani

Sport Nyumbani

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.