Breaking News
recent

ADEBAYOR AWONYESHA MASHABIKI MUONEKANO WAKE MPYA


Mshambuliaji wa Tottenham, Emmanuel Adebayor ametupia picha akiwa katika muonekano mpya akiwa amelenga kuwaonyesha mashabiki wake.


Adebayor raia wa Togo mwenye asili ya Nigeria amewaonyesha mashabiki wake kupitia mtandao wa Instagram.


Anaonekana akiwa ameachia ndevu zake kwa mtindo ule wa “O”, halafu safari amesuka baada ya kuuacha ule mtindo wa O.
Sport Nyumbani

Sport Nyumbani

No comments:

Post a Comment

Powered by Blogger.